Dunga.
Neymar anayechezea Barcelona, alifunga mabao hayo katika dakika za 18, 47, 77 na 81 na sasa anafikisha jumla ya mabao 40 aliyoifungia Brazil katika mechi 58.
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Shinji Kagawa na nyota wa Milan, Keisuke Honda walianzia benchi kwenye kikosi cha Japan.
Kikosi cha Brazil kilikuwa: Jefferson; Danilo, Miranda, Gil, Filipe Luís; Luiz Gustavo, Elias, Willian, Oscar; Diego Tardelli na Neymar
Japan: Kawashima, Ota, Sakai, Shiotani,
Morishige, Tanaka, Taguchi, Morioka,
Shibasaki, Okazaki na Kobayashi.
Chapisha Maoni