
milioni 120.
Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika: “ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager wa NSSF akimkabidhi
@jotimdebwedo Joti funguo ya nyumba yake mpya kati ya nyumba 7 zilizonunuliwa na @orijinokomedi toka mradi wa NSSF kwaajili ya
wasanii wake. Kila nyumba ina thamani ya zaidi ya Tsh 120M.
Chapisha Maoni