0
 Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba
Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba
inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua juu Katiba inayopendekezwa
katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba
Mhe.Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe samia Suluhu Hassan

Chapisha Maoni

 
Top