0
Polisi nchini Kenya juzi walimkamata na
kumshikilia kituoni muimbaji wa ‘Badder Than Most’ Redsan na producer wake Mtanzania, Sappy kwa tuhuma za ugaidi.

Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni
Mohamed Swabir pamoja na washkaji zake wengine watatu akiwemo Sappy walilala kwa siku moja kwenye kituo cha polisi kati jijini Nairobi kabla ya kuachiwa jana jioni.

Redsan amesema alikamatwa kimakosa.

Chapisha Maoni

 
Top