0
Kama mnavujua Msanii mkubwa wa vichekesho hapa TZ, Jotti Mdebwedo ..huwa anaFITI sehemu ZOTE na anaweza kuigiza kama Mwanamke aka
bi-kiboga au Asha Ngedele... vilevile kama mtoto (hapo kwa upande wangu ndo huwa ana-UA zaidi) sasa huko INSTAGRAM mwanadada Lulu ambae
pia ni msanii wa kuigiza amekomenti hii baada ya kutupia picha hiyo hapo chini;
Shape ya Pesa. ..kama Michelle Obama...shape kama hujazaliwa nayo basi shartiii ukailipie gym,
ushaona wapi unene unalipiwa....?shape
inaeleweka jmn, kijungu kdgo, flat tummy, nyama nyama kdgo...mana tena sio mtu umenyooka kama ubao...!! Hahah I juc miss my bestie
sooooo muuuuuuch

Chapisha Maoni

 
Top