0
UFARANSA imeifunga Ureno mabao 2-1
katika mchezo wa kirafiki wa kimatafa, ambao MwanasokamBora wa Dunia Cristiano Ronaldo hakuumaliza baada ya kuumia.
Ronaldo alikwenda benchi dakika ya 76 na kufungwa barafu kwenye goti, wakati huo Ufaransa inaongoza kwa mabao 2-0. Mabao hayo yalifungwa na mchezaji
mwenzake wa Real Madrid, Karim Benzema dakika ya tatu
na mchezaji mwenzake wa zamani wa
Manchester United, Paul Pogba dakika ya 65.
Ricardo Quaresma aliyetokea benchi
aliwafungia bao la kufutuia machozi wageni dakika ya 78 kwa penalti.

Chapisha Maoni

 
Top