0
Kutokana na tarifa za mashuhuda wa tukio hili hapo Kinyerezi zinasema inasemekana kijana huyu alikodi pikipiki  kwaajili ya matumizi na safari zake. Ila baada ya kukawia na pikipiki hiyo kwa mda mrefu aliye mkondisha pikipiki alianza kumtafuta kwa mda na kisha baadaye akamuona na kumpigia yowe la mwiziiiiii......

Kiukweli inasikitisha kijana alipigwa mawe na wananchi wenye hasila zao na kusababisha kifo chake pale pale.

Chapisha Maoni

 
Top