Mwili wa msanii 'YP' ambaye alifariki usiku wa kuamkia juzi katika hospitali ya Temeke Jijini Dar es salaam, umezikwa kwenye makaburi ya Chang'ombe.
Mwili wa marehemu YP uliagwa jana mchana huko TCC Sigara Chang'ombe ambapo wasanii nabwadau mbalimbali katika tasnia ya burudani walihudhuria mazishi ya msanii huyo kutoka
kundi la TMK Wanaume Family.
Africa Newss: Mungu ailaze roho ya marehemu YP mahala pema
Peponi. Amen.
Chapisha Maoni