Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akimsukuma mpinzani wake, Jose Mourinho wa Chelsea wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo leo. Chelsea imeshinda 2-0. Wenger ni Mourinho ni
Mtafaruku wa makocha huo uliteks hisia za wengi Uwanja wa Stamford Bridge, ingawa mwisho wa mchezo Wenger alikuwa mnyonge baada ya Arsenal kufungwa

Chapisha Maoni