katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo usiku huu nchini Afrka Kusini.
Laveda ameongoza kwa kura zilizopigwa na watu
waliokuwa mjengoni akipata asilimia 85 kutokana na shoo yake kali aliyotoa akicharaza vilivyo saxophone na kuwafunika washiriki wengine 25
kutoka mataifa mengine ya Afrika.
Kwa ushindi huo, Laveda hatakuwemo katika orodha ya washiriki watakaopigiwa kura kwa ajili
ya kutolewa mjengoni kuanzia wiki ijayo.
Usikubali kupitwa na tukio lolote kutoka
ndani ya jumba hilo. Picha, Video, Live
Updates, Video zao Wakioga na Mengine
Mengi yatakuwa yakiruka mtandaoni moja kwa moja kupitia site yako pendwa ya www.bigbrotherafricans.com
Chapisha Maoni