STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano
la Big Brother Hotshots unaofanyika jijini
Johanessburg nchini Afrika Kusini.
Katika shindano hilo, Tanzania inawakilishwa na watu wawili mrembo Irene 'La Veda' na Idriss.
Jumla ya washiriki 26 kutoka mataifa 13 ya Afrika watachuana kwa siku 63 kutafuta mshindi atakayejinyakulia kitita cha dola za Kimarekani
300,000.
Usikubali kupitwa na tukio lolote kutoka
ndani ya jumba hilo. Picha, Video, Live
Updates, Video zao Wakioga na Mengine
Mengi yatakuwa yakiruka mtandaoni moja kwa moja kupitia site yako pendwa ya
www.bigbrotherafricans.com
Chapisha Maoni