Platnumz kualikwa ndani ya jumba la
BBA akiwa na mwanamuziki kutoka
Congo, Fally Ipupa ambapo wameshiriki
chakula cha mchana pamoja na
washiriki waliobaki kwenye Jumba hilo,
safari hii wasanii hao wameingia kwa ajili
ya kuhamasisha ONE Campain ambayo
inahusu kilimo, moja ya Project zilizowahi kufanywa na Kampeni hiyo ni ile nyimbo ya Cocoa na Chocolate ambayo wameshiriki pia mastaa wengine kibao kutoka Afrika.
washiriki waliobaki kwenye Jumba hilo,
safari hii wasanii hao wameingia kwa ajili ya kuhamasisha ONE Campain ambayo inahusu kilimo, moja ya Project zilizowahi kufanywa na Kampeni hiyo ni ile nyimbo ya Cocoa na Chocolate ambayo wameshiriki pia mastaa wengine kibao kutoka Afrika.
Chapisha Maoni