Timu ya chelsea iliyoko kileleni wa ligi kuu England imebanwa na kulazimishwa sare ya bila kufungana na timu ya Sunderland, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare 0-0 Uwanja wa Light.CHELSEA YABANWA NA SUNDERLAND ZATOKA SARE
Timu ya chelsea iliyoko kileleni wa ligi kuu England imebanwa na kulazimishwa sare ya bila kufungana na timu ya Sunderland, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare 0-0 Uwanja wa Light.
Chapisha Maoni