
Sean Johnson mwenye miaka19 alikamatwa na jeshi hilo baada ya kunaswa na wanunuzi wa bidhaa ndani ya Supermarket hiyo ya Walmart
akiwa uchi huku akifanya ng0n0na Sanamu mwenye maumbile ya kike.
Taarifa ya jeshi hilo ilisema Johnson alikamatwa katika video iliyomuonyesha akiwa yupo busy na sanamu hiyo hadi alipogundulika na baadhi ya watu waliokua wakinua bidhaa.
Inasemekana alipokamatwa aliomba radhi lakini wateja walikataa na kumkokota hadi polisi pamoja na sanamu alilokua akifanya nalo kitendo hicho.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.