MSANII Naseeb Abdul 'Diamond Platumz' ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku wa kuamlia leo nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni