Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda
tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mahakamani hapo zinaarifu kwa, upande wa Jamhuri umeomba kesi ya msanii huyo
iahirishwe mpaka December 1 2014 kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Chapisha Maoni