0
Liteni Kanali Isaac Zida alisema hayo mbele ya waandishi wa habari.

Jeshi lilinyakua madaraka majuma mawili yaliyopita baada ya ghasia kupinga mpango wa Rais Blaise Compaore wa kutaka kubadilisha katiba
ili aendelee kuongoza nchi, ingawa alikuwa ameshaiongoza Burkina Faso kwa miaka 27. Hatimae alijiuzulu.

Siku ya Alhamisi viongozi wa jeshi, upinzani na mashirika ya kijamii walikubaliana juu ya utawala
wa mpito, utaoongoza nchi hadi uchaguzi utaofanywa mwaka ujao.

Chapisha Maoni

 
Top