0
Habari kutoka Somalia zinasema kuwa watu 18 wameuawa baada ya bomu kulipuka na kuharibu
kabisa basi walimokuwa wakisafiria katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara lililipua gari lililokuwa limewabeba abiria. Wote
waliouawa walikuwa raia.
Mashambulizi hayo yalitokea katika mji wa karibw wa Lafole.
Inadhaniwa kuwa washambuliaji hao walikuwa wakilenga gari la wanajeshi lililokuwa karibu. Mara kwa mara wapiganaji wa Al Shaabab hulenga
wanajeshi wa Serikali


BBC

Chapisha Maoni

 
Top