Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesimamishwa kuhudhuria vikao kumi vya bunge kuanzia leo June 30 mwaka
huu baada ya kubainika kunyosha kidole
cha kati kwa wabunge baada ya kukiri
mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na
Madaraka kwamba alifanya kitendo hicho.
Hata baada ya kuhojiwa Mbunge Mbilinyi alishindwa kumtaja Mbunge wa CCM
aliyedaiwa kumtukana ili nae achukuliwe
hatua na kamati hiyo. Bunge limeridhia
adhabu hiyo iliyotolewa na kamati.
Chapisha Maoni