Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,
AFRICA NEWSS: MUNGU AILAZE
ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA
PEPONI-AMEN
Chapisha Maoni