0
It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena.

Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. 

Miongoni mwa watu waliompongeza
kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’.
“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha
kuwa alikuwa akizifuatilia.

Tofauti na kwenye tuzo za MTV MAMA, msichana aliyekuwa ubavuni mwa Diamond kwenye tuzo hizo ni Zari the BossLady – na hivyo kuthibitisha
tetesi zilizovuma kuwa wawili hao ni wapenzi.

Pamoja na Zari, Diamond alisindikizwa na mama yake ambapo walikuwa pamoja na Zari kwenye red carpet na hata kuzunguka pamoja jijini
Johannesburg.

Chapisha Maoni

 
Top