KIUNGO Daley Blind anaweza kuwa nje ya Uwanja kwa wiki kadhaa baada ya kuumia mguu jana akiichezea Uholanzi ikishinda 6-0 dhidi ya Latvia.
Hilo ni pigo kwa klabu yake, Manchester United, baada ya Blind kuanguka chini dakika ya 19
Uwanja wa Amsterdam Arena, kufuatia
kugongwa gotini na Eduards Visnakovs. Hiyo ni mara ya 39 Blind anaumia United tangu kocha Louis van Gaal aanze kazi Julaim, ambayo ni wastani wa kuumia mara moja katika kila siku tatu.
MECHI AMBAZO BLIND ANAWEZA KUZIKOSA
Novemba 22: dhidi ya Arsenal ugenini
Novemba 29: dhidi ya Hull City nyumbani
Desemba 2: dhidi ya Stoke City nyumbani
Deesemba 8: dhidi ya Southampton ugenini
Deesemba 14: dhidi ya Liverpool nyumbani
Desemba 20: dhidi ya Aston Villa ugenini
Desemba 26: dhidi ya Newcastle United
nyumbani
Desemba 28: dhidi ya Tottenham Hotspur ugenini
Chapisha Maoni