vimeripoti kwamba kwamba marehemu
aliekua na umri wa miaka 70, alikua
amekwenda nyumbani kwa mama ambae ni muumini wake kwa lengo la
kumfanyia maombi lakini akafariki
wakati maombi yakiendele
Mwili wa mchungaji ukiwa unatolewa
kweye chumba alichofia.
Mama huyu ambae amesema ana umri
wa miaka 40, amewaambia Polisi
kwamba Marehemu alizirai wakati
wakiwa kwenye maombi na kwamba
hawakuwahi kuwa na uhusiano wa
kimapenzi japo majirani wanasema
wawili hawa walikua wapenzi.
Baadhi ya mashuhuda wanasema
Mchungaji huyu amekua na kawaida ya
kwenda kwenye nyumba ya huyu mama
kila weekend, na mara nyingi amekua
akienda Jumamosi na kuondoka
Jumatatu.
Mke wa Marehemu alizimia
baada ya kupata taarifa za kifo cha
mume wake ambacho kimetokea wiki
mbili baada ya mchungaji mwingine wa
Embu kufumaniwa na mke wa mtu.nimezisikia sana kwa wiki hii hapa Nairobi
inayosema kuhusu Mchungaji mmoja
maarufu kwenye mji huu kwa jina la
Geofrey Maingi wa kanisa la Redeemed
Gospel alikutwa amefariki kwenye
chumba cha kulala cha mama ambae ni
muumini wake huko Buruburu.
Chapisha Maoni