TONI KROOS NOMA AWAADHIBU HISPANIA NYUMBANI, UJERUMANI YAUA 1-0 21:43 Unknown 0 MICHEZO A+ A- Print Email Nyota wa Ujerumani, Mario Gotze akipasua na Cesar Azpiliciueta wa Sergio Busquets wa Hispania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku huu mjini Vigo. Ujerumani ilishinda 1-0,bao pekee la Toni Kroos dakika ya mwisho.
Chapisha Maoni