UHOLANZI imezinduka baada ya kuichapa mabao 5-0 Andora katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2016 usiku wa jana kwenye Uwanja wa KM.
Kocha Guus Hiddink alitishia kujiuzulu iwapo Uholanzi ingefungwa na Latvia, lakini miamba ya Uholanzi ikapindua kibao.
Robin van Persie, Arjen Robben na Klaas-Jan Huntelaar waliifungia Uholanzi dhidi ya Lativia bao la kwanza, wakati beki wa zamani wa Chelsea, aliifungia timu yake la kwanza.
Kikosi cha Uholanzi kilikuwa Vrij, Bruma,
Willems, Afellay/Depay dk69, Blind/Clasie dk20, Sneijder, Robben, Huntelaar na Van Persie/ Wijnaldum dk79.
Latvia; Kolinko, Gabovs, Dubra, Gorkss ,
Kurakins, Ikaunieks/Laizans dk46, Zjuzins/ Cauna dk54, Fertovs, Visnakovs, Sabala na Visnakovs/Rudnevs dk70.
Katika mechi nyingine zilizocheza usiku huu, Israel imefunga 3-0 Bosnia na
Herzegovina mabao ya Gil Vermouth dakika yab36, Omer Damari na dakika ya 45.
Chapisha Maoni