0
Ule usemi wa duniani watu wawili wawili
umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha
ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke
mweza.....Hebu zicheki picha zake hizi na kisha useme kama kuna umuhimu wa wawili hawa kupimwa DNA

Chapisha Maoni

 
Top