0
Afisa mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi (kuli), akiwa na mkulima wa zao la
karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae
anadaiwa kuchanganya karafuu na
makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC Finya wilaya ya Micheweni.

 MPIMAJI karafuu wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba Kitwana Salim
Kitwana, akipima karafuu hizo, kama
alivyokutwa na mpiga picha wetu kituoni hapo.
 WANANCHI waliokodi shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni Pemba, ambao kwa sasa wamekosa majamvi maalumu ya kuanikia na kusababisha kuanika kwenye maturubali ya plasitiki, ambayo husababisha kupoteza ubora wake.
 OFISA MDHAMINI ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi akikagua karafuu za wananchi
waliokodi shamba la mikarafuu la serikali, ambapo wananchi hao kwa sasa wanahitaji kupatiwa majamvi ya kuanika ili kuepusha karafuu zao kuharibika.(picha na Haji Nassor, Pemba).

Chapisha Maoni

 
Top