
halaiki ya vijana, ‘brass band’ na matarumbeta.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, amesema milango katika Uwanja wa Uhuru itakuwa wazi kuanzia saa 12:00 asubuhi ambapo wananchi watakaofika katika hafla hiyo watatumia
mlango wa kusini upande wa Barabara ya Mandela kuingia uwanjani, na waalikwa wenye kadi watatumia mlango wa geti namba 2 na viongozi
watatumia geti namba tatu 3.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.