LIVERPOOL YABANWA YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA SUNDERLAND ANFIELD 10:47 Unknown 0 MICHEZO A+ A- Print Email Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard akimiliki mpira mbele ya mchezaji nwa Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfiled. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Chapisha Maoni