0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Monduli, Mh. Edward Lowassa akimjulia
hali Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo Kuu la Tabora,Askofu Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata hivi karibuni Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Mchungaji Gwajima.

Chapisha Maoni

 
Top