Tweet ya Davido Muda mfupi tu
mara baada ya Idris Kutangazwa Mshindi wa BIG BROTHER AFRICA HOTSHOS 2014.
Na Josephat Lukaza - Wa Lukaza Blog
Mara tu baada ya Idris Sultani
Kutangazwa mshindi wa Big Brother
Africa hotshots 2014 hatimaye Msanii
kutoka nchini Nigeria Davido aonyesha
chuki binafsi kwa Watanzania na
Tanzania kwa Ujumla mara baada ya
kutweet "They Cheat Again lol" katika
ukurasa wake wa tweeter.
Hii inaonyesha wazi kuwa Davido
amechukia, na kuumia sana kiasi
kwamba akaamua kuonyesha waziwazi
chuki zake binafsi kwa kutweet "They
Cheat Again lol" Hii inaonyesha wazi
kuwa Davido anawachukia sana
watanzania na Tanzania kwa ujumla
kutokana na Kugalagazwa na Msanii wa
Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Tanzania
Diamond Platnum katika Tuzo za Muziki
za Channel O zilizofanyika huko huko
Afrika Kusini.
Tweet hii imekuja mara tu baada ya
Mshiriki Kutoka Nchini Tanzania Idris
Sultan kutangazwa Mshindi wa SHindano
la Big Brother Africa Hotshots 2014.
Ikumbukwe kuwa Msanii Davido
akuweza kuondoka hata na Tuzo moja
katika Mashindano hayo ya Channel O
yaliyofanyika hivi karibuni Nchini Afrika
Kusini
Tweet hiyo imeonyesha wazi kabisa
Davido anachuki binafsi kwa Watanzania na Tanzania mara baada ya kugalagazwa na Staa wa Nyimbo ya nitampata wapi Diamond Platnumz kutoka nchini
Tanzania.
Chapisha Maoni