MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz' ametua nchini muda huu
akitokea Afrika Kusini alipokwenda
kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O
ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa
mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni
pamoja na Most Gifted New Comer, Most
Gifted Afropop na Most Gifted East
kupitia wimbo wake wa Number One.
Chapisha Maoni