Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu EdwinEngelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi bears kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi
Monduli mjini Arusha jana.
Rais Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha Jeshi huko Monduli Mkoani Arusha jana. Jumla ya maafisa 171 walitunukiwakamisheni wakati wa hafla hiyo.
Chapisha Maoni