Wakazi wa Mtaa wa Migombani wakimzonga Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea ambae amekuja kutangaza kurudia uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa
Migombani leo ambao ulifanyika tarehe 14 Disemba 2014 ambapo mgombea wa Nafasi ya Mwenyekiti Japhet Kembo Kutoka Chadema aliibuka Mshindi kwa Kura 547.
Migombani leo ambao ulifanyika tarehe 14 Disemba 2014 ambapo mgombea wa Nafasi ya Mwenyekiti Japhet Kembo Kutoka Chadema aliibuka Mshindi kwa Kura 547.
Wakazi hao wamegoma kurudia uchaguzi huo kutokana na kile ambacho Afisa Mtendaji huyo alitangaza katika uchaguzi wa Mtaa huo uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 kuwa Uchaguzi ni Halali na Matokeo pia yatakuwa halali.
Hii ndio barua iliyoandikwa na Afisa
Mtendaji wa Kata ya Segerea kutangaza
kuwa uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa
Migombani uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 ikieleza kuwa Uchaguzi ni halali na Matokeo yatakuwa halali
Wakazi wa Mtaa wa migombani wakigomea kurudiwa uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani
Afisa Mtendaji wa Kata ya segerea
(anayeongea na simu) akiongea na simu na anayesemekana kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Ilala ambae anamuhamrisha Kutangaza kurudia Uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Ilihali Uchaguzi huo uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 ulikuwa wa amani na haki.
Wakazi wakigomea kurudiwa kwa uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa.
Chapisha Maoni