Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) Disemba 16 amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete amesema amepokea barua yake na kumshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha katika kipindi cha utumishi wake.
Sababu ya kujiuzulu ni kwamba ushauri alioutoa kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka v= na umechafua hali ya hewa.
Chapisha Maoni