uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa ameongoza tena katika utafiti huo.
Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.
Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/ kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya
uchaguzi.
Tarehe 26/11/2007 , kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....
Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na
ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....
Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya
kiutafiti..
Tarehe 20/12/2014 , kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa
sana...
Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi na kumpa ushindi Lowassa.
Chapisha Maoni