0
Ikiwa ni siku tatu sasa tangu atue nchini Ghana,akionekana mwenye furaha tele,
mwanadada Wema Sepetu akiwa Location na Van Vicker, aliweka picha hiyo hapo juu mtandaoni na
akafunguka kuwa tayari ameshapapenda Ghana.

kuandika maneno haya;

"Day 3... & Im loving Ghana already..... Silly us before we start shooting our next
scene.... #NextBigThing#DayAfterDeath
(D.A.D) starring Myself and Ghana's very
own Van Vicker.... Let me nat forget he is
also Directing it ey...." Tena akaweka na hii;

Hapa ndipo watu wakafunguka kwa kutaja majina kibao, lakina majina matatu ndio yalitajwa sana,
kuwa amemdedicatia, Diamond, Aunt Ezekiel na Martin Kadinda. Lakini katikati Wema aka- comment “ahahha mnapatia patia lakini sijui kama
ndo huyo....”mtangazaji Penny nae aliibuka na ku-comment “Niseme???” Wema kwa uatani akajibu “usilete umbea wako hapa.... ntakuchapa....” Hadi sasa haijafahamika ni nani
huyu alie-Mdediketia picha hiyo.

Muigizaji Wema Sepetu hivi sasa yupo nchini Ghana kutengeneza MOVIE yake mpya inayoitwa Day After Death (DAD) huku muhusika mkuu ni Wema mweyewe na muongozaji wa filamu hiyo ni Van Vicker amabe ni pia muigizaji wa huko huko Ghana.Kazi yote inafanyika chini ya kampuni ya
Endless Fame inayomilikiwa na Wema mwenyewe.

Chapisha Maoni

 
Top