0
 Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato,Mh. John Pombe Magufuli
(aliesimama) akizungumza na Watendaji
mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni kwenye
Jimbo hilo,wakati alipokutana nao kwa
lengo la kuwapongeza kwa kuaminiwa na kuchaliwa na wananchi.
 Sehemu ya Watendaji mbali mbali wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chato waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi
karibuni,wakimsikiliza Mh. Magufuli
(hayupo pichani).

Chapisha Maoni

 
Top