Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,
amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Kaimu Katibu
Mkuu Wizara ya Nishati na Madini
ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa
Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .
Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa
Vivian Kilindu,Juma Mkobya,Dk.Haji
Semboja,Shabaan Kayungilo,Dk.Mtesigwa
Maingu,Bodi Mhegi,Felix Kabodya pamoja na Dk.Nyamajeje Weggoro.
Taarifa hiyo ilisema bodi hiyo imeanza kazi Januari 1 na itaishia Februari 31 Mwaka 2017
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.