tak kuisawazishia Uswisi
katika sare ya 1-1 na
Polanda kwenye mchezo wa
hatua ya 16 Bora Euro 2016
Uwanja wa Geoffroy-Guichard
mjini Saint-Etienne, Ufaransa.
Bao la kutangulia la Poland
iliyoshinda kwa penalti 5-4
baadaye, limefungwa na
Jakub
Blaszczykowski. Poland sasa
itacheza na mshindi kati ya
Croatia na Ureno katika Robo
Fainali Alhamisi Uwanja wa
Stade Velodrome mjini
Marseille
Chapisha Maoni