kwa siku wagonjwa wanaolazwa katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili umesitishwa kwa muda.
Mpango huo umesitishwa leo na Waziri Afya,
Ummy Mwalimu akisema inabidi Serikali ijiridhishe
jinsi mpango huo utakavyotekelezwa.
Amesema wizara imebaini kwamba wananchi
hawakushirikishwa vyema, hivyo ameagiza uongozi
wa hospitali hiyo kuanza kutoa elimu kwa
wananchi ili waelewe mpango huo.
“Ni mpango mzuri tumeukubali kama wizara, lakini
tunaona kuna mambo ambayo tunapaswa
kujiridhisha kwanza, kama wagonjwa ambao
wanatibiwa kwa bima ya afya huku MNH wakihitaji
kulipwa fedha taslimu kwa huduma hiyo,”
amesema.
Chapisha Maoni