Mashabiki wavunja geti uwanja wa Taifa 03:39 Unknown 0 MICHEZO A+ A- Print Email MASHABIKI wamevunja geti la kuingia uwanjani nawameanza kupambana na polisi ambao wamelipuamabomu ya machozi na kuwamwagia maji yakuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoatahadhari kama hali itaendelea hivi basiatasimamisha mchezo huo.Africa Newss Sports
Chapisha Maoni