0

Siku moja tu baada ya kuingia mkataba mpya na
kampuni maarufu ya kuuza matairi nchini ya Bin
Slum Tyres, klabu uya Mbeya City imeanza
kuonyesha jeuri ya fedha.
Mbeya City imeingia mkataba na kiungo
mshambuliaji kutoka Prisons ya Mbeya pia,
mohammed Mkopi.
Mkopi amesaini mkataba wa mwaka mmoja
kuichezea Mbeya City ambayo imesaini mkataba
wa miaka miwili wenye thamani ya Sh milioni 300
kupitia bidhaa za betri za magari za RB kutoka
kwa Bin Slum.
Awali, Mbeya City ilitaka kumchukua Didier
Kavumbagu kutoka Azam FC, lakini raia huyo wa
Burundi aliamunchini Vietnam ambako
ameanza maisha mapya ya soka.
:   


Chapisha Maoni

 
Top