0
Mamlaka katika mji wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika
jitihada za kupunguza kelele.
Karibu hoteli kumi na klabu kadha nazo zilifungwa Mji wa Lagos una karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na
nyimbo makanisani vikitawala mji huo.
Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baady ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa
zikitoka maeneo hayo.



BBC

Chapisha Maoni

 
Top