kuamua mchezo, ni lazima mchezazi mmoja
akose na inategemea ni kwa namna gani atakosa,
inawezekana akalaumiwa kwa kiasi kikubwa
kutokana na timu yake kupoteza mchezo-kitu
ambacho kinaumiza sana.
Angalau golikipa akiuokoa mkwaju wa penati,
inaweekana mpigaji akawa salama, lakini kama
atapiga off target mambo huenda yakawa mabaya
zaidi.
Hicho ndicho kilichomkuta nyota mpya wa klabu
ya Arsenal Granit Xhaka.
Kiungo huyo wa ulinzi alikuwa miongoni mwa
wachezaji bora wa Switzerland kwenye michuano
ya Euro 2016, lakini mkwaju wake wa penati
haukwenda vile alivyotaka yeye wakati wa
kumtamfuta mshindi atakaesonga mbele kwenye
michuano hiyo walipopambana na Poland na
kulazimika mchezo kuamuliwa kwa changamoto
ya matuta baada ya dakika 120 kumalizika kwa
sare ya goli 1-1.
Chapisha Maoni