0
Kikosi cha TP Mazembe kinatarajia kuwasili nchini
Jumapili June 26 tayari kwa ajili ya mchezo wa
kimatafa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya
Yanga.
Mazembe watatua kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa JNIA majira ya saa 3:00 usiku kisha
kuelekea Serena Hotel ambako watafikia kabla ya
mchezo wao wa Jumanne. Kikosi hicho kitakuwa
na wachezaji 18, benchi la ufundi watu watano,
madaktari wa timu wawili, mhudumu mmoja na
wanahabari watatu.
WACHEZAJI
Robert Kidiaba
Sylvain Gbohou
Issama Mpeko
Joel Kimwaki
Thomas Ulimwengu
Christian Koume
Jean Kasusula
Salif Coullbaly
Merveille Bope
Jose Badibake
Kissi Boateng
Roger Assale
Rainford Kalaba
Deo Kanda
Adama Traore
Chriastian Luyindama
Nathan Sinkala
Joas Sakuwaha
BENCHI LA UFUNDI
Theobald Binamungu
Mohamed Kamwanya
Dony Kabongo
Frederic Kitengie
Andre Ntime
MADAKTARI
Hurbert Velud
Pamphile Mihayo
MHUDUMU
Richard Mubemb
PRESS
Heritier Yinduka
Arther Kikuni
Meshack Kayembe

Chapisha Maoni

 
Top