Griezmann akishangilia
baada ya kuifungia mabao
yote mawili dakika za 57 na
61 Ufaransa ikishinda 2-1
dhidi ya Jamhuri ya Ireland
katika mchezo wa hatua ya
16 Bora Euro 2016 jioni ya
leo Uwanja wa Parc
Olympique Lyonnais mjini
Decines-Charpieu. Ireland
ilitangulia kwa bao la Robbie
Brady dakika ya pili tu ya
mchezo na Ufaransa
inakwenda Robo Fainali
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.