Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha
54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.
Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia
bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge,
walianza kunyanyua mabango mbalimbali na
kutoka nje.
Nyumbani
»
SIASA
» Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo
Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi
Na Kutoka Nje Wakiwa Na
Mabango
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni