wamempata msanii maarufu ,Ado
Daukaka,aliyepotea siku ya Ijumaa.
Wanasema wamemkuta akiwa katika hali ya
kutokuwa na fahamu huku akiwa amekonda sana.
Kwa mujibu wa BBC, Daukaka alitekwa nyara na
kundi la watu waliokuwa na hasira kutokana na
wimbo aliouandika uliokuwa unawazungumzia
viongozi wa siasa wanajihusisha na rushwa.
Amesema walimuweka ndani kwa siku mbili bila ya
kumpatia chakula na kisha kumtelekeza msituni.
Kwa sasa anaendelea na matiba
Chapisha Maoni