WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI KUTEKELEZA AJIZO LA RAIS. 07:15 Unknown 0 MATUKIO A+ A- Print Email Ikiwa Jumamosi hii ya Juni 25, ni yamwisho wa mwezi wafanyakazi wahospitali ya Taifa ya Muhimbili watekelezaagizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt, John Pombe Magufuli kwakufanya usafi katika sehemu mbalimbali zahospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaamleo.
Chapisha Maoni